KUPINGWA KIPANDE CHA KICHAWI
Uchawi kipande Nini? Imeitwa uchawi wa KIPANDE kwa kuwa kinachotumika ni uchawi uliowekwa kwenye KIPANDE CHA mti ambacho baada ya juunganishwa hurushwa na kuondoka mpaka kwa aliyekusudiwa na kupenya ndani ya mwili na kumuathiri. Mchawi hutafuta mzizi wowote unaofuata njia, Kisha hukata KIPANDE chenya urefu nchi 4 au 5 kisha hutoboa na kuweka vifaa kama samaki anayepiga shoti (kunta) kisiki cha njiani, samaki munzolo, vumbi la mti uliopigwa na radi, kinyonga aliyejifia, chura aliyegongwa na gali. K